Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Mwenyekiti anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushauriana na Jaji Mkuu na anapaswa kuwa miongoni mwa Majaji wa Mahakama Kuu. Wajumbe wanateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungan...

Tofauti ipo kwenye majukumu ambapo Baraza limepewa jukumu la kusikiliza na kuamua kesi za rufaa zinazotokana na maamuzi ya Tume ya Ushindani na Mamlaka za Udhibiti wakati Mahakama ina majukumu mapa...