Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Baraza lina tofauti gani na Mahakama?

Tofauti ipo kwenye majukumu ambapo Baraza limepewa jukumu la kusikiliza na kuamua kesi za rufaa zinazotokana na maamuzi ya Tume ya Ushindani na Mamlaka za Udhibiti wakati Mahakama ina majukumu mapana zaidi.