Habari

TANZIA
  • 30 Mar, 2022
TANZIA

Mwenyekiti, Wajumbe na Menejimenti ya Baraza imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Baraza, Prof. Honest P. Ngowi kilichotokea kwa ajali ya gari tarehe 28, Machi,2022